Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kiwango cha wananchi kuugua magonjwa yasiyoambuliza nchini Tanzania kinazidi kuongezeka na kuwataka kujenga tabia ya kula kwa mpangilio unaoshauriwa kiafya.