Umati waendelea kujitokeza kumuaga Raila, maelfu wajipanga barabarani wakiangua vilio

Umati wa wananchi wa Kenya, umefurika katika barabara mbalimbali unakopitishwa mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Raila Odinga.