Tanesco yaleta suluhu ya umeme mdogo, Shinyanga

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Shinyanga limekuja na suluhisho la kudumu kwa changamoto ya umeme mdogo (low voltage) inayowakabili watumiaji wakubwa wa nishati hiyo mkoani humo.