Jeshi la Ulinzi la Wananchi latoa tamko kuhusu uchaguzi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Katika taarifa […]