ZAMBIA: Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Luteni Jenerali Mathew Mkingule, amewahimiza wadau na watumiaji wa bandari kuendelea kutumia bandari za Tanzania kama lango kuu la biashara kwa nchi za Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Akizungumza jijini Lusaka jana Oktoba 15, 2025 wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Wadau na Watumiaji wa Bandari za … The post Wafanyabiashara wahimizwa kutumia bandari Tanzania first appeared on HabariLeo .