MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International yanayoendelea kufanyika nchini Thailand, Miss Beatrice Alex, ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa baada ya kushika nafasi ya 3 katika kipengele cha Grand Talk na nafasi ya 15 katika kipengele cha Talent The post Beatrice Alex ang’ara Miss Grand International first appeared on HabariLeo .