Oginga ateuliwa Kaimu Kiongozi wa ODM

KENYA : SENETA wa Siaya, Oburu Oginga, ameteuliwa kuwa kaimu kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kufuatia kifo cha mdogo wake, Waziri Mkuu wa zamani Raila Amolo Odinga. The post Oginga ateuliwa Kaimu Kiongozi wa ODM first appeared on HabariLeo .