WHO yabaini usugu dawa za antibiotiki, Serikali ikijipanga
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imebaini kuwa moja kati ya maambukizi sita ya bakteria yaliyothibitishwa na maabara duniani mwaka 2023 yalionyesha usugu dhidi ya dawa za antibiotiki.