Waganga watakiwa kuwa na kamati ya maadili kudhibiti ramli chonganishi, mauaji
Wataalamu wa tiba asili na tiba mbadala wametakiwa kuanzisha kamati ya maadili ili kudhibiti waganga wasiosajiliwa ambao wamekuwa wakichafua taswira yao katika jamii na mauaji yatokanayo na ramli chonganishi.