Hatima ya shauri la maombi kuhusu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, itajulikana Ijumaa ijayo, Oktoba 24, 2025, Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, itakapotoa uamuzi.