PWANI: SERIKALI imesema Kiwanda cha Tanzania Biotech Products Ltd (TBPL) kimekuwa nguzo muhimu katika sekta ya afya na kilimo kwa kuzalisha viuatilifu vya kibaiolojia vinavyotumika kupambana na mb’u waenezao malaria na wadudu waharibifu wa mazao. Akizungumza leo Oktoba 16, 2025 wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 10 ya kiwanda hicho mkoani Pwani, Katibu Mkuu … The post Miaka 10 ya TBPL, kilimo, afya mambo safi first appeared on HabariLeo .