Wadau wakuu wa sheria serikalini wamejadiliana namna kufanya mageuzi ya kisasa katika mifumo ya kisheria inayosimamia uwekezaji katika taasisi za umma.