Siku takribani nane tangu taarifa za kutoonekana kwa Padre Camilius Nikata wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea zianze kusambaa na kuibua mshtuko, hatimaye Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) kampasi kuu ya Mwanza kimetoa taarifa kwa umma kuelezea tukio hilo.