Serikali ya Tanzania, Burundi na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR), wanatarajia kufuta hadhi ya ukimbizi kwa wakimbizi wa Burundi waishio katika kambi ya Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma ifikapo Juni, 2025.