Benki ya CRDB yajitosa kusaidia wawekezaji Afrika Mashariki
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Profesa Neema Mori amesema benki hiyo imejipanga kikamilifu kuwa mshirika wa wawekezaji wanaotaka kuchangamkia fursa za kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.