Uhaba wa Vitamin A mwilini unaweza kusababisha matatizo mbalimbali ya macho ikiwemo upofu wa usiku, ukavu wa macho na kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na magonjwa, hasa kwa watoto na wajawazito.