Sababu watoto kupata UTI kirahisi

Habari nzuri za kitakwimu ni kuwa UTI haijakuwa tishio kama ilivyo kwa magonjwa kama malaria, nimonia na kuharisha ambayo ndio yanaongoza kusababisha vifo vingi duniani.