Keki ya Taifa inapopishana na mstaafu 'aliyeipika'!

Mstaafu wetu anashukuru alianza kazi miaka ilee ambayo mashirika na kampuni za Siri-kali na binafsi zilikuwa zinatafuta waajiriwa wanapomaliza masomo shule za sekondari tofauti na sasa waajiriwa hulazimika kuisaka ajira kwa kurunzi, na bado hawaioni!