Mahakama Kuu nchini Kenya imekataa ombi lililowasilishwa na kundi la watu waliotaka kusitishwa kwa muda kwa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Amolo Odinga, wakidai kuwepo kwa sababu maalum zinazohitaji uchunguzi zaidi kabla ya shughuli hiyo kufanyika. Jaji aliyesikiliza kesi hiyo amesema kuwa mahakama haiwezi kutoa amri ya muda (Conservatory Order) kwa msingi wa […]