Mke wa Akon Atikisa Dunia Afungua Kesi ya Talaka, Adai Euro Milioni 100

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Akon, anakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kifamilia na kifedha baada ya mke wake, Tomeka Thiam, kufungua kesi ya talaka kufuatia ndoa yao ya miaka 29. Kilichowashangaza wengi ni kwamba nyaraka za mahakama zimefichua kuwa Akon ana kiasi cha dola 10,000 (sawa na takribani shilingi milioni 25) pekee katika akaunti yake […]