Serikali Yatangaza Nafasi 17,710 za Kazi MDAs & LGAs, Mwisho maombi Oktoba 29

Serikali imetangaza nafasi mpya 17,710 za kazi kwa taasisi za kitaifa na halmashauri (MDAs & LGAs). Angalia orodha ya nafasi, sifa, na jinsi ya kuomba kabla ya tarehe 29 Oktoba 2025. Pata maelezo kamili na hati za maombi hapa chini. Bonyeza link hapa chini kusoma zaidi. TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs  Mwisho […]