Mashirika yaagizwa umakini kuepuka hasara

MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu ameagiza vitengo vya sheria katika mashirika ya umma kuiepusha serikali hasara katika mikataba ya kibiashara. Mchechu ametoa agizo hilo katika kikaokazi cha wadau kati ya Ofisi ya Msajili wa Hazina, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria kinachofanywa … The post Mashirika yaagizwa umakini kuepuka hasara first appeared on HabariLeo .