MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais anayeongoza, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzishwa kwa mabasi ya umeme kwa ajili ya kuboresha huduma za usafiri wa umma na kupunguza uchafuzi wa mazingira katika jiji la Zanzibar. The post Mwinyi : Mabasi ya Umeme Kuleta Mapinduzi first appeared on HabariLeo .