Raila aagwa Kitaifa kwenye ibada maalum

WAKENYA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii leo, Ijumaa, wamefurika katika Uwanja wa Michezo wa Nyayo, Jijini Nairobi, kushiriki ibada ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, aliyeaga dunia akiwa nchini India alipokuwa akipokea matibabu. The post Raila aagwa Kitaifa kwenye ibada maalum first appeared on HabariLeo .