Mwili wa Odinga ukiagwa bungeni leo, wabunge watakiwa kuwahi

Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, umepelekwa katika majengo ya Bunge la Taifa jijini Nairobi leo Ijumaa, Oktoba 17, 2025.