Wanazuoni wamekubaliana kuwa ni Sunna kutoa pole kwa wafiwa wote wanaume kwa wanawake, wakubwa kwa wadogo.