MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema hatua kubwa zilizochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha kilimo cha kisasa zimeiwezesha Tanzania kujitosheleza kwa chakula na kuondokana na wimbi la uagizaji wa bidhaa za chakula kutoka nje. The post Tanzania yajitosheleza kwa chakula first appeared on HabariLeo .