Samia asimamia miradi ya kimkakati

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewaondoa hofu Watanzania kwa kutekeleza kwa ufanisi mkubwa miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. The post Samia asimamia miradi ya kimkakati first appeared on HabariLeo .