Tuzo mpya za kimataifa zimeanzishwa kutambua wajasiriamali chipukizi duniani, zikiwaandaa waanzilishi wa kampuni zilizo chini ya miaka minne na ambazo bado hazijafikia hatua ya uwekezaji wa Series A, ili kusherehekea kazi zao muhimu. Tuzo za Wajasiriamali wa Awamu ya Mwanzo za Investec (“Investec Easies”), zinazoendeshwa na OPUS, ndizo tuzo za kwanza kubuniwa kwa ajili ya … The post OPUS yazindua tuzo kwa wajasiriamali wanaochipukia first appeared on HabariLeo .