Banda la Mama waita vijana kupiga kura

MRATIBU wa kampeni ya Banda la Mama, Mhandisi Aivan Maganza, ametoa wito kwa Watanzania na vijana wa vyama vyote kuhakikisha wanamtafutia ushindi mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan. The post Banda la Mama waita vijana kupiga kura first appeared on HabariLeo .