KAMATI ya Mazishi ya Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga imesema kiongozi huyo atazikwa Jumapili, Oktoba 19 kulingana na matakwa ya familia yake. Raila alifariki dunia juzi nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Akizungumza na wanahabari mjini Nairobi, Naibu Rais, Profesa Kithure Kindiki alisema kiongozi huyo mkongwe katika siasa za Kenya, aliweka wazi kwa familia … The post Raila Odinga kuzikwa keshokutwa first appeared on HabariLeo .