Wataalamu wa usingizi wapewa sifa KCMC

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) imeungana na dunia kuadhimisha Siku ya Usingizi na Ganzi Tiba Duniani kwa kusherehekea mchango wa wataalamu hao katika kuhakikisha upasuaji unafanyika kwa usalama. The post Wataalamu wa usingizi wapewa sifa KCMC first appeared on HabariLeo .