Mtoto wa Odinga asimulia mauti yalivyomfika baba yake India
Mtoto mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani na kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Winnie Odinga, ameelezea namna kifo cha baba yake, marehemu Raila Odinga kilivyotokea akibainisha kuwa hakikuwa kama kinavyoelezwa kwenye mitandao ya kijamii.