Uhuru Kenyatta ataja sababu Wakenya kumuita Odinga 'Baba'
Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta, amesema kuwa marehemu Raila Amolo Odinga alikuwa “Baba wa Taifa” kutokana na mapenzi yake makubwa kwa Kenya na kujitolea kwake katika kulinda misingi ya haki, umoja na demokrasia.