Serikali yakabidhi vifaa vya mafunzo vyuo 63

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amekabidhi vifaa vya mafunzo vyenye thamani ya Sh Bilioni 8.4 kwa vyuo 63 vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). SOMA: Vyuo vya ufundi viwekeze katika vifaa vya kufundishia Makabidhiano hayo yamefanyika leo Oktoba 17, 2025 jijini Dar es Salaam, katika … The post Serikali yakabidhi vifaa vya mafunzo vyuo 63 first appeared on HabariLeo .