MJANE wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, Mama Ida Odinga, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kifo cha mumewe kilichotokea nchini India wiki iliyopita. The post Ida Odinga aitisha amani kumuenzi Raila first appeared on HabariLeo .