Visima 150 kuchimbwa kilimo cha imwagiliaji Geita

GEITA: SERIKALI kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeweka mpango wa muda mrefu wa kuchimba visima 150 katika halmashauri za mkoa wa Geita ili kukuza sekta ya kilimo kupitia wakulima wadogo. Mradi wa visima ni sehemu ya mradi kilimo cha umwagiliaji unaohusisha usanifu na ujenzi wa mabwawa, visima na skimu za umwagiliaji wenye thamani … The post Visima 150 kuchimbwa kilimo cha imwagiliaji Geita first appeared on HabariLeo .