Wakimbizi Burundi wapewa muda kurejea kwao

KIGOMA: Serikali ya Tanzania, Burundi na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) wamekubaliana kwa kauli moja kufuta hadhi ya ukimbizi kwa wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma na wakimbizi wote wanatakiwa kuondoka kwenye kambi hizo ifikapo Juni 30 mwaka 2026. Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya … The post Wakimbizi Burundi wapewa muda kurejea kwao first appeared on HabariLeo .