ACT Wazalendo yazitwisha ngome zake jukumu la ushindi urais Zanzibar

Matumaini ya ushindi wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo yameachwa kwenye Ngome za Vijana, Wanawake na Wazee za chama hicho, zilizopewa jukumu la kwenda nyumba kwa nyumba kusaka kura.