Kicheko kima cha chini mshahara sekta binafsi kikitangazwa
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambao utakuwa Sh358,322 kutoka Sh275,060, likiwa ongezeko la asilimia 33.4.