Hatari iliyopo balehe za mapema, kuchelewa kukoma hedhi

Wataalamu bingwa wa magonjwa ya saratani nchini, wamesema wasichana wanaobalehe mapema (kabla ya miaka 12) wapo hatarini kupata saratani ya matiti, huku wakishauri hatua za kuchukua.