TMA yatoa tahadhari upungufu wa mvua

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua zinazotarajiwa kunyesha Novemba mwaka huu hadi Aprili 2026, zitakuwa za wastani au chini ya wastani, hivyo kutashuhudiwa vipindi vya ukame vya muda mrefu.