Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya, marehemu Raila Amolo Odinga, katika Mazishi ya Kitaifa yaliyofanyika leo, tarehe 17 Oktoba 2025, katika Uwanja wa Nyayo, jijini Nairobi, Kenya. Dkt. Mpango alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano […]