Ibada ya kitaifa ya kumuaga Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, marehemu Raila Amolo Odinga, imefanyika leo jijini Nairobi, ikiunganisha maelfu ya waombolezaji, viongozi wa kitaifa na wageni wa kimataifa waliokuja kutoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi huyo mkongwe wa siasa. Ibada hiyo imehudhuriwa na Rais wa Kenya William Ruto, Rais wa zamani Uhuru […]