Nikiwa mwandishi na mpiga picha wa kawaida sana nisiye na makuu Novemba 27 mwaka 2011 nilikuwa mpiga picha wa matukio uzinduzi wa iliyokuwa Mall ya kisasa kabisa ya kwa kipindi hicho napengine hata sasa kama ingeendelea kuwepo lakini kwa bahati mbaya haipo tena ambayo ni Quality Centre, iliyokuwa pale Barabara ya Nyerere Jijini Dar. Katika […]