Mahakama ya Wilaya ya Singida imemhukumu Hamis Said Debwa (65), mkulima na mkazi wa Mnung’una, kifungo cha maisha jela kwa kosa la ulawiti na kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na maharimu. Mshitakiwa alitenda makosa hayo Januari 19, 2025 katika kijiji cha Minga, Kata ya Unyamkumi, kwa kumbaka na kumlawiti mjukuu wake […]