Serikali Yapandisha Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi kwa Asilimia 33.4

Serikali imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 33.4, kutoka Sh275,060 hadi Sh358,322 kwa mwezi. Akizungumza leo Oktoba 17, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwan Jakaya Kikwete, amesema kuwa kima hicho kipya kitaanza kutumika rasmi kuanzia […]