Kesi ya Uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa kwa muda mpaka saa tisa kamili Alasiri baada ya Mahakama kutaka shahidi apate kompyuta itakayomuwezesha kutambua kama vielelezo alivyokabidhiwa ni sahihi. Hii inakuja baada shahidi huyo kukukabidhiwa bahasha na Wakili wa Serikali Mkuu Thawabu Issa inayodaiwa kuwa na vielelezo viwili ambavyo ni flash disc ya […]