SERIKALI imepongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuandaa mkutano muhimu kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), hatua inayolenga kuimarisha ubora wa elimu ya ufundi na kuongeza ujuzi wa nguvu kazi nchini. The post Serikali yajipanga kuzalisha nguvu kazi first appeared on HabariLeo .