IRINGA: Wajasiriamali wadogo, hasa akina mama, wana fursa kubwa ya kujikwamua kiuchumi kupitia utengenezaji wa bagia—kitafunwa rahisi kinachopendwa na watu wa rika zote nchini. Kwa ubunifu na mipango mizuri ya masoko, bidhaa hii ya kawaida inaweza kugeuka kuwa biashara yenye faida kubwa, ikiwa chanzo cha ajira na mapato kwa familia nyingi. Akizungumza katika mkutano wa … The post Bagia kutoka Iringa zinaweza kuwatoa akina mama kimasomaso- Ngajilo first appeared on HabariLeo .